Friday 19th, April 2024
@Kilindoni
Mwenge wa Uhuru kimkoa utapokelewa Wilayani Mafia siku ya tarehe 01/06/2017 katika kiwanja cha ndege. Miradi itakayotembelewa na Mwenge ni :
Umoja wa mafundi seramala Kichangachui
-Kiwanda ccha kusindika samaki cha Kamugisha
-Kiwanda cha kukamua mafuta ya nazi Kanga
-Kikundi cha wakulimma Jimbo
-Kikundi cha akina mama wafugaji wa kuku Changarama
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.