Halmashauri ya Wilaya ya Mafia imefanikiwa kuajri watendaji watatu wa vijiji kwa kwa mwaka fedha 2017/18 , Watendaji hao ni Bizam Haji Juma Mtendaji kijiji cha Chole, Said Juma Mchonjo kijiji cha Kifinge na Rukia M. Mbotoni kijiji cha chemchem. Watendaji hao waliapishwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya siku ya tarehe 10/10/2017 na kujaza mikataba ya ajira tayari kwa kuanza kazi. Wanachi na viongozi wa vijiji husika wameombwa kuwapa ushirikiano. ,
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.