Katika kilele Cha siku ya wananchi (Yanga Day) tarehe 29/08/2021, mashabiki wa timu ya Yanga Wilayani Mafia walichangia mchele mifuko 5 ya kilo 25 na unga mifuko 5 ya kilo 25 ambayo walimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji (W) mbele ya wanafunzi waliopo kambi kwa maandalizi ya mitihani ya kidato Cha nne mwaka 2021
Mkurugenzi Mtendaji (W) Bw. Kassim S. Ndumbo akiwa ameambatana na Mkewe alikabidhiwa jezi ya Yanga kama kumbukumbu ya siku hiyo.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.