Wafanya kazi wa Wilaya ya Mafia waungana na wafanyakazi wote Duniani katika kuadhimisha sikukuu ya Wafanyakaizi Duniani. Wafanyakazi hao walianza maandamano ya maadhimisho hayo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mafia na Kuishia katika ukumbi wa CARITAS ambapo sherehe hiyo ilafanyika Kiwilaya, na mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mh. Sahibu Nnunduma.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.