• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DR. DOROTHY GWAJIMA MGENI RASMI KONGAMANO LA WANAWAKE MAFIA

Posted on: December 11th, 2022

Idara ya maendeleo ya jamii ikishirikiana kwa karibu na kamati ya Kongamano chini ya Mwenyekiti Mwl. Mariam Khalfan imefanikisha kufanya kongamano kubwa lililowashirikisha wanawake kutoka kata zote za wilaya ya Mafia siku ya tarehe 11/12/2022. Mgeni  Rasmi katika tamasha hilo alikua ni Mhe. DKT Dorothy Gwajima (MB) Waziri  wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Mwenyekiti wa Kongamano alikua Mh. Mkuu wa Wilaya Mafia Mhandisi Martin Ntemo.

 Kongamano lilianza kwa maandamano kutokea mkunguni hadi ukumbi wa Halmashauri uliopo maeneo ya Chico katabya Kilindoni uliondaliwa kwa ajili ya kongamano hilo. Mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwa ni pamoja na  jinsi  ya kupambana na ukatili wa kijinsia, usisitizaji wa ulaji bora wa familia ikiwa ni kuzingatia vyakula vyenye virutubisho, Mbinu mbalimbali za  ujasiriamari na kuwajengea uelewa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu  ambao ni walengwa wa mikopo ya 10% juu ya  mabadiliko ya uombaji wa mikopo hiyo ambapo kwa sasa unatumika mfumo unaoitwa  TPLMIS




Matangazo

  • TANGAZO: MATOKEO YA USAILI KWA KAZI ZA MKATABA KWA NAFASI ZA UDEREVA NA UHUDUMU WA OFISI May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MARUFUKU UTOAJI WA AJIRA KWA WATOTO; AONYA DC MANGOSONGO

    June 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJALI AFYA ZAO KUEPUKA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA

    June 14, 2025
  • DC MANGOSONGO AWAPOKEA WASHINDI WA UMISSETA NGAZI YA MKOA

    June 06, 2025
  • WANANCHI WILAYANI MAFIA WAASWA KUTUNZA MAZINGIRA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

    May 31, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.