• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAAFISA KILIMO WAPATIWA MAFUNZO YA UBORA WA KOROSHO.

Posted on: September 30th, 2021

Maafisa Kilimo Wilayani Mafia wamepatiwa mafunzo juu ya ubora wa korosho kutoka kwa bodi ya korosho Tanzania. Mafunzo hayo yalitolewa kwa maafisa ugani na maafisa Kilimo waliopo Wilayani makao makuu.

 Mafunzo hayo  yatawasaidia maafisa Kilimo kwenda kutoa Elimu kwa wakulima namna ya kupata korosho bora , kuanzia utunzaji wa Shamba , namna ya kuvuna na kizihifadhi ili zisiharibu ubora. Bodi ya korosho walieleza kuwa korosho Bora ni Ile inayokomaa na kudondoka yenyewe chini na inatakiwa eneo la mti wa korosho kuwa safi kwani ubora wa korosho  huharibiwa na unyevu/ maji kupitia bibo ambalo ndiyo linalolisha korosho huwa bichi.

Ukusanyaji wa korosho unatakiwa kufanyika kila siku na ukichelewa  ndani ya siku  tatu (03), bibo na korosho vitenganishwe mapema  kwani bibo huendelea kuilisha korosho inayoweza kupelekea korosho kupata vimelea vinavyopunguza ubora wa korosho.

Uanikaji wa korosho ni kati ya siku 3-4 na zigeuzwe pande zote zipate jua  na zikauke vizuri. Korosho zikikauka  zitengwe zenye ujazo mkubwa na nzuri zisizoathiriwa na kuvu na kuhifadhiwa kwenye magunia maalum ya katani yaliyothibitishwa na TBS.

Pia walishauriwa ili kulinda ubora wa korosho ziuzwe ndani ya mwaka mmoja na wakulima wasisahau kubakisha korosho kwa ajili familia zao kwani zinasaidia sana macho pia waliongeza kuwa Afisa Ugani ambaye Kata yake itatoa korosho bora zaidi katika mkoa wa Pwani atapatiwa Zawadi na bodi ya korosho.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI April 06, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 31, 2021
  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA MAFIA YA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA WILAYA YA MAFIA KUANZIA MWEZI MEI, 2018 May 23, 2018
  • RATIBA YA MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA YA MAFIA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI May 22, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI

    February 08, 2022
  • WALIMU WAPATIWA MAFUNZO YA KALENDA YA UTEKELEZAJI MTAALA

    February 07, 2022
  • MGOGORO WA ARDHI WATATULIWA KITONGOJI CHA KICHANGACHUI

    January 28, 2022
  • MKUU WA MKOA PWANI KUKABIDHIWA MADARASA MAFIA

    January 24, 2022
  • Tazama zote

Video

Mafia yatakiwa kuimarisha ulinzi dhidi ya uvuvi haramu
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.