Dkt. Michael Battle Balozi wa Marekani nchini Tanzania akitembelea Hospitali ya Wilaya ya Mafia wakati wa ziara yake leo Machi 20.
Balozi Battle amepokelewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mafia, Olivanus Thomas aliyeambatana na Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Salum pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo na viongozi wa Taasisi mbalimbali wilayani.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.