Wakuu wa Divisheni na Vitengo wakipatiwa mafunzo ya mfumo wa kielektroniki wa Ukaguzi na Ufuatiliaji Fedha katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ( IFT-MIS) ;mfumo ambao unakwenda kurahisisha uandaaji wa mpango kazi wa kujibu hoja za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG)
Mafunzo ya mfumo huo yametolewa leo Aprili 29, 2025 kwa ushirikiano wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani pamoja na Kitengo cha TEHAMA.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.