• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF ) WAZINDUA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI KIPINDI CHA TATU AWAMU YA PILI(PSSN TASAF III phase II) WILAYANI MAFIA

Posted on: September 24th, 2021


TASAF kipindi Cha tatu (III) awamu  II imeongeza uwanda wa kutoa huduma kwa wananchi katika halmashauri zote na vijiji vyote Tanzania na itajikita kwenye miradi ya:-

Afya

Maji

Elimu

Miradi hiyo inawalenga zaidi  kwa kaya maskini sana katika

- kuongeza kipato kwa kaya maskini

-Kuboresha Afya kwa Watoto Chini ya miaka mitano

- Kuwasaidia katika Elimu watoto wa zaidi ya miaka mitano

- Kuwasaidia kupata mikopo ya Elimu waliopata nafasi za kujiunga na vyuo mbalimbali

- Kutoa ruzuku kwa kaya yenye mlemavu.

 kuongeza kipato

Pia TASAF imeanzisha vikundi vya kuweka akiba na vitakavyofanya  vizuri vitapewa ruzuku ya ziada

Pia zilianishwa sifa za kaya KUSAJILIWA kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini ni pamoja na zifuatazo:-

1. Kaya zenye kipato Cha Chini kisicho na uhakika

2. Kutokuwa na uhakika wa kupata Milo mitatu (03) kwa siku

3. Kuishi kwenye makazi duni

4. kuwepo Kwa watoto wenye umri wa kuwa shule Ila hawajapelekwa

5. Kushindwa kuwapeleka kliniki Watoto Chini ya miaka mitano (5)

Pia TASAF wameanzisha vikundi katika kaya hizi ili waweze kujiwekea akiba na vikundi vitakavyofanya vizuri vitapata ruzuku ya ziada si zaidi ya Tshs. 500,000/= na kusaidiwa kuandaliwa mpango wa biashara (business plan) kwa ajili ya kuanzisha biashara .


Matangazo

  • TANGAZO: NAFASI ZA KAZI ZA MUDA; UCHAGUZI MKUU July 02, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • VETA YATOA MAFUNZO KWA MAMA LISHE ZAIDI YA 200 WA KATA YA KILINDONI

    June 17, 2025
  • JITIHADA ZIONGEZWE KUTOKOMEZA MALARIA

    June 17, 2025
  • MARUFUKU UTOAJI WA AJIRA KWA WATOTO; AONYA DC MANGOSONGO

    June 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJALI AFYA ZAO KUEPUKA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA

    June 14, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.