Mkurugenzi Mtendaji(W) Mwl. Kassim Ndumbo afanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliokuwa ukiwasumbua wananchi wa kitongoji cha Kichangachui.
Aidha Mkurugenzi akiwa na timu ya wataalamu pamoja na uongozi wa Serikali ya Kijiji Cha Kilindoni walifanya ziara ya kupita nyumba kwa nyumba kusikiliza na kutatua mgogoro wa ardhi katika kitongoji Cha Kichangachui uliodumu kwa muda mrefu na hatimaye suluhu imepatikana siku ya tarehe 27/01/2022
KAZI IENDELEE
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.