• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mh. Omary Kipanga Mbunge wa Wilaya ya Mafia na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia agawa vifaa vya michezo

Posted on: September 30th, 2021

Jumla ya timu 84 za mchezo wa mpira wa miguu katika Kata zote 8 za Wilaya Mafia zilipatiwa mipira kwa ajili ya kuinua na kufufua michezo Wilayani Mafia kama ifuatavyo:-

Kata ya Kanga ilipokea mipira  8, Kata ya Kirongwe  mipira 10, Baleni mipira 13, Ndagoni mipira 9,  Miburani mipira 13, Jibondo mipira 9,  kilindoni mipira 10,  Kiegeani mipira 12.

Afisa Michezo Bw. Mwisani Ngomo alipewa jukumu la kuanzisha ligi ya Wilaya ambapo kila Kata itaunda timu moja ya Kata, hivyo katika Kata 8 zitatoka timu 8 zitakazoingia robo fainali na mwisho fainali na timu itakayoshinda itapatiwa Zawadi na Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo hilo. Mwisho wa ligi itapatikana timu moja ya wilaya itakayoenda kucheza nje ya Wilaya. Ligi hiyo imepewa jina la Kipanga Cup

Pia katika ziara  hiyo alielezea pia miradi mbalimbali ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ndani ya wilaya ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya chama Cha Mapinduzi (CCM),  akielezea katika sekta ya Elimu ( Msingi na Sekondari) imeshaletewa jumla ya bilioni tshs.3.5 kwa ajili ya ujenzi /ukarabati wa madarasa , mabweni na maabara, Sekta ya barabara Tshs. bilioni 1.5, Mradi wa umeme vijijini (REA) jumla ya Tshs bilioni 2 na vituo vya Afya Tshs. bilioni 1.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI April 06, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 31, 2021
  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA MAFIA YA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA WILAYA YA MAFIA KUANZIA MWEZI MEI, 2018 May 23, 2018
  • RATIBA YA MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA YA MAFIA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI May 22, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI

    February 08, 2022
  • WALIMU WAPATIWA MAFUNZO YA KALENDA YA UTEKELEZAJI MTAALA

    February 07, 2022
  • MGOGORO WA ARDHI WATATULIWA KITONGOJI CHA KICHANGACHUI

    January 28, 2022
  • MKUU WA MKOA PWANI KUKABIDHIWA MADARASA MAFIA

    January 24, 2022
  • Tazama zote

Video

Mafia yatakiwa kuimarisha ulinzi dhidi ya uvuvi haramu
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.