Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo amekabidhi pikipiki 13 kwa maafisa kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia.
Akikabidhi pikipiki hizo Desemba 27, 2024, Mhe. Mangosongo amewasisitiza maafisa kilimo kuzitumia kwa lengo lililokusudiwa na ana imani kwamba zitawasaidia katika kurahisisha utendaji kazi wao katika kuwahudumia wananchi.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.