• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA UBORA WA BARABARA KITONGOJI CHA MSUFINI

Posted on: April 8th, 2025

Mwenge wa Uhuru  umezindua barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Mita 950 iliyopo kijiji cha Kilindoni katika kitongoji cha Msufini. 

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa barabara hiyo yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.3, Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Ismail Ussi, amepongeza usimamizi wa mradi huo na kutoa wito kwa wananchi kuendelea kuitunza barabara hiyo ili iwanufaishe kwa muda mrefu zaidi. 

" Mwenge wa uhuru umeridhishwa na mradi huu wa barabara ambayo imejengwa kwa kisasa, ubora na umadhubuti wa viwango vyote. Niwaombe ndugu wananchi na wakazi wa eneo hili tuendelee kuitunza barabara hii maana ni maendeleo ambayo Serikali inayosimamiwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inalenga katika kuhudumia wananchi wake" alieleza 

Kwa upande wake, Diwani wa kata ya Kilindoni ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Juma Salum ameipongeza Serikali kwa kuendelea kuwajali wananchi kwa kuboresha miundombinu. 

" Wakati Mhe. Rais anaingia madarakani, hatukuwa na hii barabara, tulikuwa na barabara moja tu yenye KM 14 wilayani Mafia, leo hii tumepata barabara ya kwanza ya mtaa kwenye Halmashauri yetu, na huu mfano wa barabara ni mmoja tu, kuna mengi yamefanyika katika kipindi cha miaka minne katika maeneo mbalimbali " alieleza Mhe. Salum.


Matangazo

  • TANGAZO: NAFASI ZA KAZI ZA MUDA; UCHAGUZI MKUU July 02, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • VETA YATOA MAFUNZO KWA MAMA LISHE ZAIDI YA 200 WA KATA YA KILINDONI

    June 17, 2025
  • JITIHADA ZIONGEZWE KUTOKOMEZA MALARIA

    June 17, 2025
  • MARUFUKU UTOAJI WA AJIRA KWA WATOTO; AONYA DC MANGOSONGO

    June 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJALI AFYA ZAO KUEPUKA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA

    June 14, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.