• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MWENGE WA UHURU WAWASILI WILAYANI MAFIA

Posted on: April 7th, 2025

Mwenge wa Uhuru umekimbizwa leo Aprili 07, 2025 wilayani Mafia baada ya kukabidhiwa kutoka Wilaya ya Kibiti ambapo mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Joseph Kolombo aliukabidhi rasmi kwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo. 

Miradi 11 imekaguliwa, miradi mitatu imezinduliwa, na mradi mmoja umewekewa jiwe la msingi na kufanya jumla ya miradi 15 yenye thamani ya Bilioni 2.8 kutembelewa na Mwenge wa Uhuru kwa kukimbizwa kwa umbali wa KM 64.9 ndani ya wilaya ya Mafia.

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Ussi ameonesha kuridhishwa kwa  kupongeza usimamizi na utekelezaji wa miradi wilayani Mafia huku akisisitiza kuendeleza uzalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pamoja na kutoa wito kwa wananchi kuitunza miradi hiyo ili iwe ya manufaa kwa sasa na baadaye.

" Mwenge wa Uhuru umeridhishwa na utekelezaji wa miradi wilayani hapa, muendelee kutunza miradi hii maana inatekelezwa kwa fedha nyingi, kwa kufanya hivyo tutakuwa tunayaishi mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Mhe. Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan" alieleza Ussi.

Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukabidhiwa kesho Aprili 8, 2025  wilayani Bagamoyo.

Matangazo

  • TANGAZO: NAFASI ZA KAZI ZA MUDA; UCHAGUZI MKUU July 02, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • VETA YATOA MAFUNZO KWA MAMA LISHE ZAIDI YA 200 WA KATA YA KILINDONI

    June 17, 2025
  • JITIHADA ZIONGEZWE KUTOKOMEZA MALARIA

    June 17, 2025
  • MARUFUKU UTOAJI WA AJIRA KWA WATOTO; AONYA DC MANGOSONGO

    June 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJALI AFYA ZAO KUEPUKA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA

    June 14, 2025
  • Tazama zote

Video

Kisiwa cha Mafia ndani ya SGR
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.