• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Naibu Waziri Elimu , Sayansi na Teknolojia azungumza na viongozi wa dini

Posted on: September 29th, 2021

Naibu waziri Elimu , Sayansi na Teknolojia Mh. Omary Kipanga, Mbunge wa Mafia alizungumza na viongozi wa dini na taasisi lengo la kujuana na kuwashukuru kwa kazi kubwa waliyoifanya pamoja na kuhamasisha watu kujitokeza kupiga kura na kuwapatia ushindi wa Rais  pamoja na  yeye Mbunge

Pia alisema kuwa kwa kuwa yeye ni mara yake ya kwanza kuwa Mbunge hivyo inawezekana pia Kuna mahali haifanyi sawasawa amewaomba viongozi wamsaidie  kuongoza watu, kwani watu wanao na wanawajua watu wa Mafia, aliongeza kuwa yeye alizaliwa mafia Ila alivyomaliza darasa la 7 hakuwahi kukaa zaidi ya siku 10 zaidi ya kipindi cha uchaguzi mwaka 2020.

Aliomba kwa yale aliyopatia wampe pongezi na maeneo ambayo aliamini amefanya vizuri kumbe anakosea wamwambie ni wapi maana inawezekana anaenda kwa Kasi kubwa au anaenda taratibu sanaa, hivyo anaomba wampe uelekeo wa namna nzuri ya kuongoza/ kufanya mambo katika maeneo mbalimbali

 Wajumbe walipata wasaa wa kutoa maoni yao kama ifuatavyo

1. kuwe walimu wa dini walioajiriwa ili kuwalea watoto katika maadili mema ya kumpendeza Mungu

2.Mikutano na viongozi wa dini ifanyike  walau mara moja kwa mwaka

3.Ratiba za vyombo vya usafiri bado haziko vizuri na hakuna muda maalum

4. Viongozi wa dini waalikwe bungeni kwenda kumtembelea Mbunge wao

5.  Wachapa kazi wainuliwe/ wapandishwe madaraka kwani wapo wanafanya kazi kwa bidii, utii  na uadilifu

6. Huduma za afya vijijini hasa kijiji Cha Gonge hawana zahanati iliyopo  haijakamilika kuweza kutoa huduma na kusababisha wananchi  hao kufuata huduma  za Afya mbali

7. Upande wa barabara waliomba ziwekwe vifusi Kabla ya msimu mvua

8. Usafiri wa Ndege ni ghali waliomba gharama zipunguzwe

9. Eneo la kutia nanga paongezwe kina ili meli  ziweze kutia nanga muda wote.

Mwisho walimuasa Mh. Mbunge kuwa achape kazi na asisikilize maneno ya watu kwani anapowahudumia watu anamhudumia Mungu.

Akipokea maoni hayo ya wadau alisema maoni yote ameyapokea  na mengine yalishaanza kufanyia kazi na tayari serikali imetenga bajeti kwa ajili ya ujenzi wa kivuko Cha pili na uko katika upembuzi yakinifu ya uwekaji lami barabara ya Nyamisati - Bungu na Kilindoni-Rasi Mkumbi kilometa 50 pia  aliongeza kwa kusema kuwa tayari sekta ya Elimu ( Msingi

na Sekondari) imeshaletewa jumla ya bilioni tshs.3.5 kwa ajili ya ujenzi /ukarabati wa madarasa , mabweni na maabara, Sekta ya barabara Tshs. bilioni 1.5, mradi wa umeme vijijini (REA) jumla ya Tshs bilioni 2 na vituo vya Afya Tshs. bilioni 1.

Alimaliza  kwa kusema kuwa mapato ya Halmashauri yamepanda na kufikia  asilimia 84 kwa kipindi ya miezi 6.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.