Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo akiambatana na baadhi ya viongozi wakiwemo Katibu Tawala wa Wilaya, Ndg. Shabani Shabani, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg. Mussa Kitungi pamoja na wananchi katika zoezi la kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye vituo mbalimbali.
Wananchi wamendelea kuaswa kujitokeza kuchagua viongozi kwa muda huu uliobaki ili kutimiza wajibu na haki yao ya msingi ya kikatiba.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.