Friday 26th, April 2024
@Kijiji cha Kilindoni, Juani,Jojo na Vijiji vya jirani
Mh. NW wa mifugo na uvuvi mh. Abdallah H. Ulega atafanya ziara ya siku mbili hapa Mafia tarehe 21-22/11/2017 na atatembelea vijiji vya kilindoni, Juani na Jojo. Wananchi wa vijiji husika na vijiji jirani wote mnatakiwa kuhudhuria kwenye maeneo yaliyoandaliwa.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.