Walimu wa shule za msingi na sekondari (mwalimu mkuu na mwalimu wa fedha shuleni) pamoja na wasimamizi wa zahanati na wanaohusika na masuala ya fedha walipatiwa mafunzo ya kutumia mfumo wa utoaji wa taarifa za matumizi ya fedha za serikali (FFARS). Mafunzo hayo yalitolewa kwa walimu sekondari , shule za msingi na zahanati zote zilizopo wilayani Mafia. Aliyefungua mafunzo hayo ni Mkurugenzi Mtendaji (W) Bw. Erick Mapunda aliyesimama . Angalia picha chini.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.