Kesho tarehe 27/09/2017 kutakuwa na kikao cha baraza la madiwani (Full council) wananchi wote mnaalikwa kuhudhuria kikao hicho muhimu ili kupitia hesabu za kufunga mwaka wa fedha 2016/2017
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.