Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje likiwa katika hatua ya Renta katika ujenzi wa kituo kipya cha Afya katika kata ya Kiegeani
Ujenzi wa jengo la maabara likiwa katika hatua ya Geboa katika ujenzi wa kituo kipya cha Afya katika kata ya Kiegeani
Ujenzi wa jengo la upasuaji (Theatre) likiwa katika hatua ya umwagaji jamvi katika ujenzi wa kituo kipya cha Afya katika kata ya Kiegeani
Ujenzi wa jengo la wazazi likiwa katika hatua ya mwendelezo katika ujenzi wa kituo kipya cha Afya katika kata ya Kiegeani
Ujenzi wa jnyumba mbili kwa moja ya watumishi wa afya likiwa katika hatua ya mwendelezo katika ujenzi wa kituo kipya cha Afya katika kata ya Kiegeani
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.