Ujenzi ukia hatua ya msingi tarehe 20/11/2021
Ujenzi ukiwa katika hatua ya jamvi 21/11/2021
Ujenzi ukiwa katika hatua ya upandishaji tofali tarehe 22/11/2021
Mradi ukiwa katika upandishaji wa kuta kozi ya nne tarehe 23/11/2021
Ujenzi ukiwa umefikia hatua ya kuweka linta tarehe 26/11/2021