Friday 9th, May 2025
@UKUMBI WA BWALO LA MAGEREZA
Kutakuwa na uzinduzi wa Baraza jipya la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia siku ya tarehe 14/12/2020 litakalodumu kwa mwaka 2020-2025.
Wanachi wote mnakaribishwa kufika kushuhudia kiapo cha Waheshimiwa madiwani wateule kwa gharama zenu.
LIMETOLEWA NA
Ofisi ya Utumishi na Utawala
Halmashauri ya Wilaya - Mafia
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.