Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mafia yajadili na kupitisha Rasimu ya Mpango wa bajeti ya Shilingi Bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Likiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Juma Salum, baraza hilo limeainisha vipaumbele ambavyo vinalenga kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya kukamilisha miradi viporo, kuhakikisha miradi iliyopitishwa inamalizika kwa wakati pamoja na kuongeza fedha kwenye fungu la mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.