Benki ya CRDB leo imefungua rasmi tawi lake katika wilaya ya Mafia mkoani Pwani ambapo mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Mhe. Omary Kipanga, Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mafia.
Tukio hilo pia limeudhuriwa na viongozi wa wilaya na Halmashauri akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Zephania Sumaye,wakuu wa Idara na vitengo, viongozi wa dini pamoja na wafanya biashara.
#Mafiadc
#CRDBxMafiadc
#Maendeleo
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.