Matukio mbalimbali yakionesha namna walimu wakifurahi na kuburudika kwa pamoja kupitia michezo na muziki katika sherehe yao iliyofanyika Oktoba 18, 2025.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo iliyoandaliwa na CWT Mafia alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo aliyeambatana na baadhi ya viongozi.


Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.