• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC MAGOTI ASISITIZA UMAKINI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

Posted on: August 14th, 2025

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Petro Magoti amesisitiza kufanya kazi kwa bidii na Kujituma hususan katika usimamizi wa Miradi ya Maendeleo ili iweze kuleta tija kwa wananchi pamoja na kuunga juhudi za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan katika kukuza Maendeleo. 

Magoti ameyasema hayo leo Agosti 14, 2025 akiwa katika Ziara ya Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Pili Mnyema katika kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Aidha amesema kuanzia jumamosi atarudi tena Wilayani hapo ili kuangalia maendeleo ya miradi inayokamilishwa na kufuatilia utekelezaji wa maelekezo yalitolewa na Katibu Tawala.

"Hatucheki na Mtu kwenye Miradi, kuanzia jumamosi nitakuwa hapa kuhakikisha mambo yote yaliyoanishwa yanatekelezwa," Alisema Mhe Magoti.

Wilayani Mafia Katibu Tawala alikagua mradi wa ujenzi wa soko la Kilindoni  unaogharimu zaidi ya Milioni 700, Ujenzi wa Jengo la wazazi kakika Hospitali ya Wilaya unaogharimu zaidi ya milioni 500 pamoja na Maboresho ya majengo ya Shule ya Msingi Utende yanayogharimu zaidi ya Shilingi Milioni 100.

Matangazo

  • TANGAZO: NAFASI ZA KAZI ZA MUDA; AFISA MIFUGO MSAIDIZI July 14, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • DC MAGOTI ASISITIZA UMAKINI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

    August 14, 2025
  • KATIBU TAWALA MOROGORO AIPONGEZA MAFIA KWA USIMAMIZI MZURI WA UTOAJI WA MIKOPO YA DKT.SAMIA

    August 04, 2025
  • KARIBU MAONESHO YA NANENANE BANDA LA MAFIA, MKOANI MOROGORO

    August 02, 2025
  • "UTUMISHI WA UMMA NI WITO"

    July 26, 2025
  • Tazama zote

Video

KARIBU PWANI MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.