Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo akifunga mafunzo kwa mama lishe Juni 24, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri.
Jumla ya mama lishe 396 wamehitimu mafunzo hayo yaliyotolewa na Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi wilayani Mafia ( VETA ) ambapo washiriki wa mafunzo walipata fursa ya kuonesha ujuzi wao kwa vitendo kwa kupika vyakula mbalimbali.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.