Mkuu wa wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo ameongoza kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe kwa robo ya nne ya mwaka 2023/2024.
Miongoni mwa mambo aliyosisitiza ni uzingatiaji wa utoaji wa elimu kuhusu lishe katika shule, vituo vya kutolea huduma za afya na kwenye jamii, hasa kwa watoto.
Aidha, ametoa wito kwa watumishi kuzingatia lishe na mazoezi ili kujikinga na magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.