Mgeni rasmi katika maonesho ya nne ya Biashara na Uwekezaji ya Mkoa wa Pwani, ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ametembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, leo Desemba 17, 2024.
Dkt. Jafo amewapongeza wajasiriamali, na kuwasisitiza SIDO kuendelea kuwasaidia kama alivyowaelekeza "Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa miaka mitatu kwa wajasiriamali wadogo kulelewa na SIDO na bila kulipa gharama yoyote, lengo letu ni kuhakikisha wajasiriamali wanapiga hatua" alisema Dkt. Jafo.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.