• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YAHIMIZWA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI KUVUTIA WAWEKEZAJI

Posted on: January 15th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ameitaka Halmashauri kuhakikisha kuwa inaweka mazingira bora ya uwekezaji katika sekta mbalimbali ikiwemo utalii, viwanda na biashara kupitia fursa mbalimbali zipatikqnazo kisiwani Mafia. 

Mhe. Mangosongo ameyasema hayo leo Januari 15, 2026 wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ( DCC) kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Chicco kilichohusisha viongozi wa Serikali wilayani Mafia, viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, watumishi kutoka taasisi mbalimbali za Kiserikali na wananchi.

Mhe. Mangosongo ameeleza kuwa ni muhimu wataalam wa Halmashauri kwa kushirikiana na taasisi zinazojihusisha na utalii pamoja na wadau, kuhakikisha kuwa Mafia inapiga hatua kiuchumi kwa kutanua wigo wa uwekezaji.

" Tuone namna ya kuvutia wawekezaji, nimeona kwenye bajeti kuwa mmetenga fedha kwa ajili ya kubuni maeneo ya uwekezaji, basi tuwe ' serious' na kufanya kweli, pia tuyatangaze ili wawekezaji wajue wanaanzia wapi" alieleza Mhe. Mangosongo mara baada ya uwasilishaji wa bajeti kutoka Halmashauri pamoja na taasisi nyingine.

Katika hatua nyingine ya kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kasi wilayani, Mhe. Mangosongo ameitaka Halmashauri kuweka mkazo katika ukusanyaji wa mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato vitakavyosaidia kuijenga Mafia kiuchumi.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Mhe. Gulam Mohammed ametoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano wao katika sekta zote wakisaidiana na wataalam kutoka Halmashauri na taasisi mbalimbali ili kuiinua Mafia kiuchumi.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa kulinda maadili katika jamii akiwaomba viongozi wa dini kuendelea kutoa elimu kwa wananchi ili kuendelea kulinda mila na deaturi pamoja na kudumisha amani na kufanya kazi kwa bidii kuijenga Mafia na Taifa kwa ujumla.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA UWAKALA WA KUKUSANYA MAPATO January 27, 2026
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YAHIMIZWA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI KUVUTIA WAWEKEZAJI

    January 15, 2026
  • WASIMAMIZI WA MIRADI WATAKIWA KUFUATA MIONGOZO YA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI

    January 02, 2026
  • USHIRIKISHWAJI WA JAMII NI NGUZO KUBWA YA UTUNZAJI WA RASILIMALI ZA BAHARI

    December 30, 2025
  • NAMNA JAMII INAVYOSHIRIKI KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    December 28, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.