• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI ZASISITIZWA KUTENGA BAJETI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Posted on: January 24th, 2025

Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, haina budi kushirikiana vyema kuhakikisha kuwa utekelezaji wa mipango madhubuti iliyowekwa unatimia.

Serikali, wadau mbalimbali pamoja na wananchi wana wajibu mkubwa kuleta mabadiliko katika jamii kwa kila upande kutimiza wajibu.

Kwa kuzingatia hayo, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mitaji ya Maendeleo ( UNCDF) linafanya kazi katika kujenga uwezo kwa halmashauri za wilaya nchini kuwa na uelewa wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi pamoja na kusisitiza umuhimu wa halmashauri kujumuisha masuala ya mabadiliko ya tabianchi kwenye mipango na bajeti.

Akizungumza na Timu ya Wataalam wa Halmashauri leo Januari 24, 2025, Mratibu wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la mitaji ya Maendeleo ( UNCDF- LoCAL) Bi. Aine Mushi, ameelezea umuhimu wa kushirikisha wananchi katika kuibua masuala mbalimbali yahusuyo mabadiliko ya tabianchi pamoja na kutekeleza mipango iliyowekwa  ili kuyapatia sulushisho la kudumu.

Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ni miongoni mwa halmashauri ambazo zinatarajia kupokea kiasi cha Shilingi Milioni 507 kutoka UNCDF ambazo ni sawa na Dola 200,000 ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Shirika la UNCDF linafanya kazi kwa ukaribu pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais na  taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC).


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.