Shirika la Sea Sense Kwa kushirikiana na Hifadhi ya Bahari Mafia ( HIBAMA), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Halmashauri ya Wilaya ya Mafia wanatarajia kutekeleza Mradi wenye lengo la kuhifadhi na kurejesha Msitu wa Mlola pamoja na kuboresha hali ya maisha ya wanajamii chini ya Ufadhili wa CEPF na FOS.
Katika utekelezaji wa awali wa mradi huo, Shirika hilo kwa kushirikisha wataalam mbalimbali na wananchi wa jamii husika, linaendelea kufanya utafiti wa kutambua maeneo ya msitu Wa Mlola yenye uhitaji wa urejeshaji.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.