Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mafia imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa kukagua shule ya sekondari ya amali iliyopo kijiji cha Dongo pamoja na ujenzi wa soko katika kata ya Kilindoni.
Kamati hiyo imeendelea kupongeza hatua iliyofikiwa katika miradi hiyo pamoja na kusisitiza usimamizi mzuri ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati ili jamii ianze kunifaika.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.