Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii, imeendelea kutoa mafunzo kwa kamati ya huduma za mikopo ya Kata kuhusu usimamizi na utoaji wa Mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu.
Mafunzo hayo yalifanyika tarehe 02 Oktoba,2024 kwa kata za tarafa ya Kaskazini na tarehe 03 Oktoba, 2024 kwa kata za Tarafa ya Kusini.
Halmashauri inatarajia kutoa mikopo yenye jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni 535.9 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.