• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SENSA WILAYA YA MAFIA YAFANYA KIKAO CHA TATHIMINI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Posted on: October 20th, 2022

Kamati ya sensa Wilaya ya Mafia imefanya kikao cha tathmini ya sensa ya watu na makazi siku ya tarehe  20/10/2022 .


Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhandisi Martine Ntemo ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Mafia alitoa shukrani kwa  wajumbe wa kamati ya sensa Wilaya, kamati ya Sensa mkoa, kamati ya ulinzi na usalama, taasisi za dini, wenyeviti wa vitongoji na viongozi wote na wananchi kwa ujumla kwa ushirikiano mkubwa walioutoa kipindi chote cha zoezi  zima la sensa ya watu na makazi.

Zoezi la kuchukua taarifa lilianza rasmi tarehe 23/08/2022 na kukamilika tarehe 05/09/2022.

Aidha zoezi lilitanguliwa na mafunzo yaliyofanyika kwa makarani, wasimamizi wa maudhui na wasimamizi wa TEHAMA kwa muda wa siku 19. Wote walifaulu mitihani na walifanya kazi kwa bidii na uaminifu ambapo walihakikisha nyumba za makazi na majengo yote yametambuliwa na kuchukulia taarifa tarajiwa.

 Makarani waliofanya kazi kwa bidii watapewa vyeti vya kutambua uzalendo wao.

Matangazo

  • TANGAZO: KUITWA KWENYE USAILI (UCHAGUZI MKUU 2025) October 05, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • DC MAGOTI ASISITIZA UMAKINI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

    August 14, 2025
  • KATIBU TAWALA MOROGORO AIPONGEZA MAFIA KWA USIMAMIZI MZURI WA UTOAJI WA MIKOPO YA DKT.SAMIA

    August 04, 2025
  • KARIBU MAONESHO YA NANENANE BANDA LA MAFIA, MKOANI MOROGORO

    August 02, 2025
  • "UTUMISHI WA UMMA NI WITO"

    July 26, 2025
  • Tazama zote

Video

AGIZO LA DC MANGOSONGO KWA TANROADS
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.