Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Ndugu Mussa Kitungi akitembelea banda la maonesho la Halmashauri katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere mkoani Morogoro, Agoati 2, 2025.
Ndugu Kitungi aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mji wa Korogwe Bi. Mwashabani Mrope ambaye alipata fursa ya kuona mambo mbalimbali katika sekta ya Kilimo, mifugo na uvuvi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia.
" Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ".
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.