• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KATIBU TAWALA MKOA WA PWANI Bi. ZUWENA OMARY ARIDHISHWA UJENZI WA MIRADI MAFIA

Posted on: November 8th, 2022


 Nimeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya Mafia,  Katibu Tawala Pwani aliyasema haya alipokuwa katika ziara tarehe 04/11/2022 alipotembelea miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa shule ya sekondari Jibondo iliyopo kijiji cha Jibondo ambayo kijiografia kijiji cha Jibondo ni kisiwa , pamoja na changamoto za upelekaji wa vifaa vya ujenzi , hatua iliyofikiwa katika ujenzi ni nzuri

  Mradi wa  ujenzi wa kituo cha afya Kiegeani ambacho kwa sasa ujenzi wa majengo  umekamilika, zikiwemo  jengo la wagonjwa wa nje (OPD), nyumba mbili kwa nne za watumishi wa kituo , kichomea taka, sehemu ya kufulia nguo , miundombinu ya maji na umeme isipokuwa  majengo yaliyoongezeka ambayo ujenzi unaendelea na uwekaji wa miundombinu

Mradi wa jengo la  ofisi ambalo lipo katika hatua ya umaliziaji kazi ya upakaji rangi,  na umaliziaji wa miundombinu , kuweka madirisha , blandaring zinaendelea

Ujenzi wa majengo ya dharura (EMD) na wagonjwa mahututi (ICU) majengo yapo hatua za umaliziaji ambapo alielekeza kasoro zilizobainika zirekebishwe

Mradi wa ujenzi wa shule ya Msingi  Kigamboni ambapo ujenzi wa madarasa, Jengo la utawala na nyumba za walimu unaendelea

Mwisho alitembelea ujenzi wa shule mpya ya sekondari Ndagoni na kujionea mradi unavyoondelea na changamoto kubwa ilikuwa ni upungufu wa vifaa ikiwemo sementi.

Mwisho alihitimisha kwa kusema kuwa uongozwe umakini  zaidi katika hatua za umaliziaji (finishing) ili majengo yaonekane nadhifu , imara nanubora wake ujidhihirishe. Pia aliwashukuru wananchi wa Mafia ka kiridhirishwa kwao na uongozi wa serikali ya awamu sita chini ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan na kuahidi atazifikisha salamu na shukrani zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.