• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIKAO CHA KAMATI YA LISHE KUPITIA MPANGO NA BAJETI YA LISHE

Posted on: November 15th, 2022

Kamati ya Lishe imefanya kikao cha kupitia mpango na bajeti ya Lishe kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Katika kikao hiki mgeni rasmi alikua Katibu Tawala (W) Bw. Gilbert Sandagila. Aidha alikuwepo mjumbe mmoja kutoka OR-TAMISEMI Bi. Asiatu Mbwambo na mjumbe mmoja kutoka ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi. Pamela Meena.

Afisa Lishe (W) aliwasilisha taarifa ya tathmini kwa kwa kuwapitisha wajumbe katika kazi zilizofanyika  kwa mwaka wa 2022/2023 ikionesha hali ya lishe.

Taarifa ilibainisha asilimia za mafanikio kwamba;

Utoaji wa Vitamini  82.1%,  shule zinazalisha  chakula lishe 94.4%, Vijiji  vinavyofanya shughuli za lishe 97.5%.

Pamoja na mafanikio hayo, kuna  watoto waliogundulika kuwa na utapiamlo na kupewa dawa sawa na 60.6%. Wajawazito waliomeza dawa kuongeza damu (FEFO) ni 55.3, hali ya unyonyeshaji watoto chini ya miezi 6 ni 99%, Hali ya ukondefu kwa watoto kuanzia miezi 0 - 59 ni 08% shule zenye club ya shughuli za afya na lishe ni 69.4%.


Changamoto za lishe zinazoikabili Wilaya ni pamoja na lishe duni, uzito uliokithiri na upungufu wa vitamini na madini.


Mikakati iliyopo ni pamoja na  kuendelea kutoa elimu juu ya lishe kwa jamii na matumizi bora na sahihi ya choo, kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimi juu ya lishe na kuweka mazingira wezeshi ili kuboreaha lishe, kuhamasisha kila shule waanzishe miradi ya ufugaji kuku na kilimo cha mbogamboga ili wanafunzi wapate lishe bora.


Wajumbe walishauri pia ianzishwe siku ya lishe kijijini ili kuhamasisha uboreshaji wa lishe.

Pia wajumbe wa kamati ya lishe (taasisi za dini, taasisi zisizo za kiserikali na idara zinazohusiana kama kilimo, mifugo, maendeleo ya jamii, ustawi wa jamii, ) wawe wanawasilisha taarifa za lishe za maeneo yao.

 Mjumbe kutoka utawi wa jamii alisema katika idara ya Maendeleo ya Jamii kuna kitengo kinachohusika na lishe kwa watoto yenye bajeti ya Tshs. 32m. Mjumbe kutoka RUWASA  alisema kupitia mradi wa SWASH  wana bajeji Tshs. 22 m. kwa ajili maji na maswala ya lishe.


Aidha Kitengo cha lishe kilipokea pikipiki tatu kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya shughuli za lishe.


KAZI IENDELEE

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.