• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA LISHE ROBO YA PILI 2024/2025

Posted on: February 5th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ameongoza kikao cha Tathmini ya Mkataba wa Lishe robo ya pili, Oktoba - Desemba 2024/2025 kilichofanyika katika Ofisi yake  Februari 05, 2025. 

Mhe. Mangosongo amewataka wataalam wa lishe kwa kushirikiana na Idara ya Elimu Sekondari na Msingi kuongeza kasi ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa lishe, hasa shuleni kwa kuhakikisha wazazi wanashirikishwa vyema.

Aidha, amezitaka shule zote kuhamasisha masuala ya lishe kwa kuhakikisha wanaandaa na kusimamia vyema klabu za lishe ikiwemo kutilia mkazo uwepo wa bustani za mboga mboga, kwa kupata ushauri mzuri kwa maafisa kilimo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UTOAJI WA MIKOPO May 02, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YASISITIZA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO

    April 23, 2025
  • TEKNOLOJIA MPYA KUONGEZA THAMANI ZAO LA DAGAA WILAYANI MAFIA

    April 16, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPONGEZA UBORA WA BARABARA KITONGOJI CHA MSUFINI

    April 08, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWASILI WILAYANI MAFIA

    April 07, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.