• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIKAO CHA WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI VYA KATA YA KILINDONI KUWASILISHA KERO KWA MKUU WA WILAYA - MAFIA.

Posted on: October 19th, 2022

Kikao kiliongozwa na mwenyekiti Mhe. Mkuu wa Wilaya Mhandisi Martin Ntemo.


Kikao kilikuwa kwa ajili ya kupokea kero mbalimbali  kutoka kwa  wajumbe hao.

 Kero zilizowalishwa ni pamoja na :-

i.Soko la Kilindoni halina hadhi ya solo la Wilaya na miundombinu yake hairidhishi.  Majibu yalitolewa kuwa tayari bajeti ya kutengeneza soko ilishapatikana kupitia mradi wa TASAF.

ii.  Postikodi. Baadhi ya watu kukosa namba za nyumba na pia majina ya barabara na mitaa kuwa tofauti na maeneo husika. Akifafanua hoja hii Kaimu mratibu wa zoezi la anwani za makazi na postikodi alieleza kuwa kwa kuwa zoezi la uhakiki limeanza, changamoto zitarekebishwa wakati wa zoezi.

iii. ujenzi wa stendi. Eneo lililopendekezwa ni mtaa wa Shahadadi, kwa kuwa ni eneo la wazi halihitaji fidia . Stendi itajengwa kupitia Mradi wa TASAF

iv. Mlengwa wa TASAF kukosa fedha

maeneo ya miradi yasiyo na fidia kupangiwa miradi yako kwenye mipango miji

v. Migogoro ya mipaka kijiji cha  Dongo-kuna tatizo la  wenyeviti wa vijiji

 kutokujua mipaka yao ambapo idara ya ardhi waliahidi kufufua mipaka iliyopo kwenye gn kwa  kuanzia na yenye migogoro  na kuwapitia

vi. Mauzo ya viwanja kuuzwa na wanasheria bila kuhusisha majirani wala viongozi kijijini.  Akitoa majibu Afisa ardhi alisema

maeneo ambayo  yalishapimwa wenyeviti wa vijiji/vitongoji wasishughulike nayo sababu yana nguvu za kisheria

Pia  sheria na. 4 ya ardhi inawapa mamlaka viongozi wa vijiji  kushiriki katika uuzaji wa maeneo yao na  wakati wa kujaza mikataba ya ardhi pia aliwaasa  waache kuidhinisha mauziano ya maeneo  mara mbilimbili.

Alisema elimu juu  ya usimamizi wa sheria ya ardhi itaendelea kutolewa.

Kuhusu kiwanja cha Dawe ndege; mipango miji wana mpango wa kulifanya eneo la michezo,  pia kuna chanzo cha maji, changamoto iliyopo ni maji kujaa kipindi cha mvua.

Kuhusu hati - alisema tayari hati zinaendelea kutolewa kwa wahusika na ambazo bado wanaendelea kulishughulikia.

Upimaji wa viwanja vipya.  Alisema upimaji unategemea bajeti ya fedha za Halmashauri na Kamishna, pindi fedha ikipatikana zoezi la upimaji litaendelea.

Mwenyekiti wa Halmashauri aliwaasa viongozi kutunza na kuhifadhi mazingira kwani ukataji wa miti hovyo utasababisha jangwa na kuongeza hewa ya ukaa.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.