Kisiwa cha Tembonyama kilichopo kijiji cha Jojo katika kata ya Kirongwe, kimepata mwekezaji atakayechangia kuleta maendeleo katika sekta ya utalii.
Akizungumza leo Novemba25, 2024 wakati wa utiaji saini wa mkataba wa uwekezaji wa kisiwa hicho, Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo amempongeza Mwekezaji Bw. Joseph Kusaga, kwa hatua hiyo pamoja na kusisitiza kwamba ni muhimu wananchi, hasa wakazi walio karibu na eneo la uwekezaji wakanufaika kutokana na uwekezaji huo.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.