Shirika la @tacci.tz_ kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, leo limeendesha kikao cha kutambulisha mradi wa kutokomeza ukatili ujulikanao kama '' Vunja Ukimya Tuondoshe Ukatili".
Kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii, viongozi wa kata, viongozi wa dini, walimu, wana sanaa na wanafunzi.
Mradi wa Vunja Ukimya unaratibiwa na Ubalozi wa Canada
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.