• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

lMHE. MANGOSONGO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: May 29th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe Aziza Mangosongo, akiwa katika ziara ya ukaguzi wa miundombinu ilyoharibiwa na kimbunga " Hidaya" wilayani Mafia.

Akiwa ameambatana na kamati ya Usalama ya Wilaya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo, Mhe. Mangosongo alitembelea eneo la machinjio ambalo liliathirika na maafa lililopo kata ya Kilindoni pamoja na Josho katika kata ya Ndagoni ambapo alitoa wito kwa Halmashauri kuweka jitihada za kurekebisha miundombinu hiyo ili kuboresha zaidi huduma kwa wananchi.

Maeneo mengine yaliyotembelewa ni pamoja na shule ya msingi Kiegeani ambapo mradi wa ujenzi wa madarasa matatu unaendelea, eneo ambalo linatarajiwa kujengwa shule ya Sekondari ya Ufundi jijiji cha Marimbani, pamoja na mradi wa maabara uliopo shule ya sekondari Kidawendui.

Matangazo

  • MWALIKO WA KUHUDHURIA BARAZA LA KWANZA LA MADIWANI November 29, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • CHUO CHA VETA MAFIA CHATOA WAHITIMU KWA MARA YA KWANZA TANGU KUANZISHWA

    November 23, 2025
  • WITO WATOLEWA KWA WADAU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUBORESHA ELIMU

    November 21, 2025
  • JITIHADA ZAIDI ZAHITAJIKA KUBORESHA MASUALA YA LISHE WILAYANI MAFIA

    November 14, 2025
  • WANUFAIKA WAASWA KUTUMIA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA

    November 13, 2025
  • Tazama zote

Video

USIKOSE KUWA SEHEMU YA TUKIO HILI MUHIMU KIHISTORIA
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.