Wilaya ya Mafia yaadhimisha Siku ya Papa potwe Duniani,leo Agosti 30, 2024.
Madhimisho hayo yamekutanisha viongozi wa Serikali, Taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali yakiwemo, Shirika la Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), Shirika la Uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa Papa potwe (WATONET), watumishi, wanafunzi na wananchi kwa ujumla, ambapo ujumbe wa kuhifadhi na kulinda viumbe wa baharini wakiwemo Papa Potwe pamoja na utunzaji wa mazingira, umetiliwa mkazo ili kuleta mafanikio kiikolojia, kiuchumi na kijamii.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.