Viongozi pamoja na wananchi wamejitokeza wakati wa maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima yaliyofanyika leo Oktoba 9, 2025 katika shule ya Msingi Kilindoni.
Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ambaye ametoa wito kwa jamii kuhakikisha kuwa suala la elimu linapewa kipaumbele kwa kuweka jitihada mbalimbali ikiwemo kuchangamkia fursa za mafunzo ya fani tofauti zitolewazo katika Chuo cha Ufundi VETA.
Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni " Kukuza Kisomo Katika Zama za Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu ya Taifa letu"


Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.