Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mafia Ndugu Dennis Myovella ameongoza mafunzo kwa makarani waongozaji wapiga kura yenye lengo la kuwajengea uwezo wa namna ya kutekeleza majukumu yao wawapo vituoni .


Mafunzo hayo yaliyofanyika Oktoba 25, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri, yalienda sambamba na zoezi la uapishaji kwa makarani waongozaji wapiga kura.
Jumla ya makarani 149 wamepatiwa mafunzo ambapo wataenda kutekeleza shughuli za uchaguzi katika vituo 133 Wilayani.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.