Maonesho ya Nanenane kanda ya Mashariki kwa mwaka 2024 yameanza rasmi Agosti 01 mkoani Morogoro ikihusisha mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Morogoro na Tanga.
Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ni miongoni mwa Halmashauri zilizopo katika kanda hiyo ambapo viongozi, waoneshaji pamoja na watumishi wapo mstari wa mbele kuhakikisha kwamba maonesho ya wakulima yanafana na kutanua fursa zaidi kiuchumi.
Kauli mbiu ya maoneaho ya Nanenane kwa mwaka 2024 ni " Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ".
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.