Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Ndugu Mussa Kitungi ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya TEHAMA ( ICT STEERING COMMITTEE) kwa robo ya kwanza 2025/ 2026 tarehe 11 Novemba, 2025 ambapo kitengo cha TEHAMA kimewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli zake.


Pamoja na kuwasilisha taarifa zilizotekelezwa, kamati imejadili juu ya mikakati iliyopo kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii kupitia mifumo ya TEHAMA, kuhakikisha usalama wa taarifa za umma, na kuongeza ufanisi wa majukumu
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.