Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge akiwa ameambatana na timu ya mkoa na uongozi wa Wilaya ya Mafia wamefika jijini Dar es Salaam kukagua na kuangalia maendeleo ya mradi wa kivuko kipya kitakachofanya safari kati ya Mafia na Nyamisati.
Katika ziara hiyo, Mhe. Kunenge amefarijika na maendeleo mazuri ya mradi huo.
Kivuko hicho cha Tani 120 pindi kitakapokamilika, kinatarajiwa kubeba abiria 300 na magari 10.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.