• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MILIONI 428 KUTOLEWA KWA WANUFAIKA WA VIKUNDI VYA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI

Posted on: January 17th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii leo Januari 17, 2025 imeongoza mafunzo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu vinavyotarajia kupata mkopo wa asilimia 10. 

Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Chicco pamoja na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kilichopo Ndagoni, yamekutanisha vikundi 57 kutoka kata nane wilayani Mafia. 

Akifungua mafunzo hayo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Dkt. Seleman Kataga amewataka wanufaika hao kuhakikisha wanakuwa waaminifu katika urejeshaji pamoja na kutumia fedha watakazopewa kwa lengo lililokusudiwa. 

Aidha, amewataka wafikishe ujumbe kwa waombaji wengine kuwa "  wale waliokosa wasikate tamaa maana zoezi ni endelevu,  nao watapata nafasi nyingine ya kuomba pindi dirisha la pili litakapofunguliwa" alisema Dkt. Kataga. 

Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Asha Itelewe amewasisitiza wanufaika kuhakikisha kuwa wakati wakipambana kufanya marejesho, wasisahau kubadilisha hali zao za maisha pamoja na familia zao maana lengo la kutoa mikopo hiyo ni kuwainua wananchi kiuchumi. 

Bi. Itelewe ametoa wito kwa vikundi vilivyokosa kuendelea kuomba mkopo wakati Halmashauri inajiandaa kufungua dirisha la pili mwishoni mwa mwezi Januari mwaka huu 2025. 

Mafunzo hayo yanatarajiwa kumalizika kesho Januari 18, 2025. 


Matangazo

  • TANGAZO: NAFASI ZA KAZI ZA MUDA; UCHAGUZI MKUU July 02, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • VETA YATOA MAFUNZO KWA MAMA LISHE ZAIDI YA 200 WA KATA YA KILINDONI

    June 17, 2025
  • JITIHADA ZIONGEZWE KUTOKOMEZA MALARIA

    June 17, 2025
  • MARUFUKU UTOAJI WA AJIRA KWA WATOTO; AONYA DC MANGOSONGO

    June 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJALI AFYA ZAO KUEPUKA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA

    June 14, 2025
  • Tazama zote

Video

Kisiwa cha Mafia ndani ya SGR
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.